Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi - Hallgatás Online

RFI Kiswahili

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

293 - Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi
00:00
00:00

Epizódok

293-

Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi

Wed, 04 Mar 2026
292-

Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi

Wed, 25 Feb 2026
291-

Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya

Wed, 18 Feb 2026
290-

Dubai: Viongozi wa dunia waangazia mageuzi ya sera, ubunifu na mifumo mipya ya utawala

Thu, 05 Feb 2026
289-

Ushindani wa mataifa makubwa na mustakabali wa uchumi wa Dunia

Wed, 21 Jan 2026