Mjadala wa Wiki

Mjadala wa Wiki - Hallgatás Online

RFI Kiswahili

Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.

100 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023
00:00
00:00

Epizódok

100-

Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023

Wed, 29 Sep 2021
99-

Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022

Wed, 15 Sep 2021
98-

Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika

Fri, 10 Sep 2021
97-

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu

Wed, 25 Aug 2021
96-

Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde

Thu, 12 Aug 2021